Khalid Qur-an teacher
No reviews yet

السلام عليكم ورحمةالله وبركاته. الحمدلله الذي حمدايوافي يوافي نعمه و ويكافؤ مزيده.
أنا خالد منزنجبار تنزانيا قد حفظت القرآن الكريم وأكملت في سنة ٢٠١٤.
فمن أراد أن يتعلم القراءة /القرآن أنا موجود أنتظره.

As alaykum warahmatullah wabarakatuh. Kwa jina Naitwa Khalid Hilal Mohamed naishi Zanzibar-Tanzania. Ni kijana nilojitolea kuifundisha Qur an Kwa njia ya mtandao Whatsap Online na pia Kwa upekee nawez hata kumfata anohitaj Kwa ukaribu wa masafa yalokuwa sio mbali.

Nimehifadh Qur an Kaamil chini ya Usimamiz wa Jumuiya Kuhifadhisha Qur an Zanzibar na kuthibitishwa Kwa kuskilizwa Kwa umakini. Vile vile nimepat uzoefu wakushirik mashindano mbali mbali ndani na nje ya Tanzania Kwa maana nawez kukusaidia hata na ww ukiwa na uhitaj wa kuhifadh Qur an au pia Kwa usomaj t wakawaid Kwa kiwango Cha usomaj Mzuri.

Nipo tayari kumsaidia yeyote anohitaji kijifunza Qur an Kwa namna yeyote Ile Inshallah.
Naomba untafute inshallah Ili upate kijifunza kitabu Cha Allah na Kwa rehma zake utafanikiw.

I'm Khalid Hilal Mohamed. I teach Qur an through WhatsApp online and I hope, you will be better reciter inshallah. You are welcome.

Subjects

  • qur an Beginner-Intermediate


Experience

No experience mentioned.

Education

  • Development Planning (Nov, 2020Jul, 2022) from National Institute of Public Administrationscored First Clas

Fee details

    TSh1,0001,500/day (US$0.420.63/day)


Reviews

No reviews yet. Be the first one to review this tutor.